Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashine haitakatishi nguo. Hatupo Switzerland Wala Canada hapa ni 30°c . kola inachafuka vilivyo haiwezekani ikatakata kwa kuzungushwa tu.
😁😁😁😁 uzuri wengine toka utoto ni wachafu wachafu.. hata wakubwa wenzetu wameishatuzoe.. ila kama ukiwa smart alafu uwe rafu watu watazani dishi limeyumba
 
Back
Top Bottom