Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,577
Sijasema Mimi na aliyesema hajuiUsisahau Mimi ni mnyaki; wengi wetu sio warembo
Sijasema Mimi na aliyesema hajuiUsisahau Mimi ni mnyaki; wengi wetu sio warembo
BWANA ana mpango na weweDooh haya maneno ya kufarijiwa ninayopewa leo wallahi nitanenepa![]()




Eeh jamaniHiyo judgement tuachie sisi. Weka tafadhari
Na Hilo lipo nje ya uwezo wako
Sawa tuEeh jamani
Wengine sie hatupo photogenic ndo maana hatupigi picha hizo
Akhaa tujipost tu mwayaNiliweka haikuaa sana ..
Hayo mambo tuwaachie nyie wenye shape zenu.
Wengine tupo shapeless .
Kweli sometimes inabidi tujikubali
NamhifadhiaOoh vyema ..
Namsubiri mahondaw , naona yupo busy .
ashakujaNamhifadhia
Ile jicho ndo nimeiwekanipo dia..tupia please!![]()

asante dia nimeiona ubarikiwe sanaashakuja