Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Bila camera effects hapo utashangaa 😅.Awapi... camera inasingiziwa tu
Bila camera effects hapo utashangaa 😅.Awapi... camera inasingiziwa tu
Kuna watu wanakula na kushiba memaBeautiful indeed! Kuna ntu anafaudu!!
Kabisa yani! mtoto anenona kweli kweli!Kuna watu wanakula na kushiba mema
Kama wewe vileKabisa yani! mtoto anenona kweli kweli!
Uzuri unachangia!Bila camera effects hapo utashangaa 😅.
Shingo za akina Ummy Mwalimu hizo,nzuri balaa
Hapo nimejionesha kweli kasoro macho na pua tuUngefunua kiasi
Na hapo Pana umuhimu kwerikweri kwenye jichoHapo nimejionesha kweli kasoro macho na pua tu
Awwh vyema ..Uzuri unachangia!
Nilikuwa nasema tuTupo kwa @Tinsely kashaija.
Picha zako hazichoshi kuangalia ujueKutakuwa hakuna jipya lakini; angalau sasa hivi mnajua naonekanaje


Shingo za akina Ummy Mwalimu hizo,nzuri balaa
Hatimae, karibu tena
🤩🤩🤩😜😜😜😜✌️✌️✌️✌️✌️ leo walau Hio umeiwahi..safi sanaNilikuwa nasema tu
Ya Ummy imekaa vizuri zaidi maana imejikataa mara nyingiShingo za akina Ummy Mwalimu hizo,nzuri balaa

Dooh haya maneno ya kufarijiwa ninayopewa leo wallahi nitanenepaDaah itabidi nikufanyie surprise moja Kali kabla mwaka haujaisha


Awwh vyema ..
Kama wewe ulivyo mrembo dada .