reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,306
Ahsante daahh!wankumbusha mbaali sana hizo sehemu!Kola dream(kola ndoto)!Simiyu moja hyooo!!!wape hi sanaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ahsante daahh!wankumbusha mbaali sana hizo sehemu!Kola dream(kola ndoto)!Simiyu moja hyooo!!!wape hi sanaa
Leo natulia home mkuuLeo umeamua kutulia home

Mashallah!!!Wikend njema View attachment 2139485
Lips dendaaaWikend njema View attachment 2139485





Muambie huyo mmiliki aweke vigae hapo chini, anakwama wapi?





Huwa navutiwa na playlist ya Dj wao tu, unakuta Kinywaji kinashuka taratibu huku ukiinjoi mziki mzuriNilifikaga hapo siku moja palikuwa pamepoa kuna sehemu nikaenda ndio panabamba sana hapo mbeya kuna night club nyuma kidogo kabla hukafika mataa ya mafiati
Nitamwambia, wewe umekaa pande zipi nikupige round 🥂Muambie huyo mmiliki aweke vigae hapo chini, anakwama wapi?![]()
Nipo fullHata hushibi hapa,![]()
Huwa navutiwa na playlist ya Dj wao tu, unakuta Kinywaji kinashuka taratibu huku ukiinjoi mziki mzuri
Next time nitapita na hiyo mitaa unayosema Mkuu
