cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Hapo sasa hebu nikaribie maeneo.Kuongeza ni ruksa [emoji846]
Hapo sasa hebu nikaribie maeneo.Kuongeza ni ruksa [emoji846]
Kwa kuguna hujambo mbna, sijui ktk match huwa unaguna hivyo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmh
Ameeeeeeen!!Cud morning all.. Muwe na Jumamosi nzuriView attachment 2139395
.........Hiyo ndio basi mkuu. Niliongezea juice fresh ya chungwaView attachment 2139419
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza? Au niongezeee? UwiiiiiihSmile increases face value!
Meno safi sana meupeeee yamepangika vizuri[emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Habari za masiku mkuu!
Ndio maana naota ndoto mbaya mbaya nadondoka kwenye m'buyu mara namezwa na anaconda mara Rhiana katoa mimba yangu duh..Hiyo ilikua mlo wa Jana usiku. Mara nyingi usiku sipendi kupiga heavy weight. Ntasinzia au kuchoka wakati natakiwa nikae macho kufanya kazi.
Ila sio Kila siku. Inategemea na ratiba.
Kama hapa si unaona zagazaga nyingiiiiView attachment 2139421
Heaven Sent atakuja kutoa maelezo zaidi
Haya mambo ya kuweka namba zetu za magari mtakuja kuvunja ndoa zetu....wengine tumeaga tuko site Mpanda!
Ongeza shos![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemaliza? Au niongezeee? Uwiiiiiih
Ndio maana naota ndoto mbaya mbaya nadondoka kwenye m'buyu mara namezwa na anaconda mara Rhiana katoa mimba yangu duh..
Kumbe misosi ninayokula..
View attachment 2139470
Hahhaaa!!!Haya mambo ya kuweka namba zetu za magari mtakuja kuvunja ndoa zetu....wengine tumeaga tuko site Mpanda!
Asante nakwako pia mamy!Wikend njema View attachment 2139485
Kwema mkuuKwa kuguna hujambo mbna, sijui ktk match huwa unaguna hivyo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za asubuhi mkuuAbee
Akhsante na kwako pia mkuuWikend njema View attachment 2139485
[emoji8][emoji8][emoji8]Wikend njema View attachment 2139485
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umemaliza kabisaaa yaan.Ongeza shos!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Hii hapa ndio ya kuamka Sasa siku ianze. Ila mpishi wa hizi chapati nahisi kabisa ni from Mbombo NkafuView attachment 2139508