cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Kwema sijui wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema mkuu
Kwema sijui wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema mkuu
Hii hapa ndio ya kuamka Sasa siku ianze. Ila mpishi wa hizi chapati nahisi kabisa ni from Mbombo NkafuView attachment 2139508
Habari za asubuhi mkuu
Vizuri sana kama ni salama mkuuSalama Mkuu sijui wewe
Vizuri sana kama ni kwemaKwema sijui wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa matumizi ya binadamu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri sana kama ni kwema
Mimi niko poa/salama kabisa
Cc Heaven Sent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya mambo ya kuweka namba zetu za magari mtakuja kuvunja ndoa zetu....wengine tumeaga tuko site Mpanda!
Huyu unamuita wa nini ten?!Cc Heaven Sent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vizuri sana kama ni salama mkuu
Mimi niko poa/salama kabisa
Nimeaona umeandika Mwanza
Upo/unakuja Mwanza?
Haha basi tu nimekumbuka kuna siku nami nilipost picha humu nikataja na mkoa niliopo, kuna magari yakawa yanaonekana plate number clearly kabisa. Naye akasema hivyo kuwa haya mambo mtu ameaga kaenda sijui mkoa gani, mara gari yake inaonekana jf iko mkoa mwingine.Huyu unamuita wa nini ten?!
Sawa mkuuCheck PM
tena Kaka?mke wetu hajambo
Nkamu ongeza nyingine kwa bili yanguWeekendingView attachment 2139623
[emoji17]JD inashuka tu[emoji4]View attachment 2138916
My ex umepotea sn[emoji17]
Wachaa wee piga ulabu mommah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WeekendingView attachment 2139623
Lunch[emoji41]View attachment 2139668