Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Na hasa nimeikumbuka VW Touareg.Siyo nguo tu bali pia ni jamii ya watu! Halafu isije ikawa unachanganya na ile Touareg ya Volkswagen spellings zake ni tofauti!
Na hasa nimeikumbuka VW Touareg.Siyo nguo tu bali pia ni jamii ya watu! Halafu isije ikawa unachanganya na ile Touareg ya Volkswagen spellings zake ni tofauti!
😁😁😁😁 fala sana wewe.. umeona nitafaidi ungenishtua
Naomba nije kupiga nalo hata picha dugu yangu 😁😁😁9.8ms squared night walk na shemeji yako, Mercedes Benz AMG Coupe tumeipark leo.
View attachment 2139173
Kuongeza ni ruksa 🙂Ila mwenyeji unanitamanisha mno, ila sitashiba achilia kutosheka.![]()
Vipi profit??? 🙂
nilitoka.. nilifanya scalping.. nilipata kiduchu tu.. 😎😎Vipi profit??? 🙂
MmmmmhHuyo mkaka alovaa msuri, ana zawadi ake kwangu.![]()
Za kwangu njema/salama kabisaKwema kaka za kwako?!!
Napendaga sana yako very natural!! Hewa saafiii
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Morning too mkuuCud morning all.. Muwe na Jumamosi nzuriView attachment 2139395