Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu, afu basi au kuna msosi mwingine unafuata?

Hiyo ndio basi mkuu. Niliongezea juice fresh ya chungwa
IMG_20220305_082337.jpg
 
Safi sana si wengine asubuhi msosi ova wabeba vyuma.

Hiyo ilikua mlo wa Jana usiku. Mara nyingi usiku sipendi kupiga heavy weight. Ntasinzia au kuchoka wakati natakiwa nikae macho kufanya kazi.

Ila sio Kila siku. Inategemea na ratiba.
Kama hapa si unaona zagazaga nyingiiii
IMG_20220305_085752.jpg


Heaven Sent atakuja kutoa maelezo zaidi
 
Back
Top Bottom