Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
si mpenzi wetu 😊😊Mke Yupi huyo
tena Kaka?
si mpenzi wetu 😊😊Mke Yupi huyo
tena Kaka?
Mbeya tunajua mno kupika chapati aisee.Hii hapa ndio ya kuamka Sasa siku ianze. Ila mpishi wa hizi chapati nahisi kabisa ni from Mbombo NkafuView attachment 2139508
Mweeeh mweeeh mweeeehWeekendingView attachment 2139623
Mkeo kupika kote Huku utashangaa unamcheat.
Lekchara wako wa DarHata hushibi hapa,![]()
Mhh mama mchungaji kwenye ubora wakoMkeo kupika kote Huku utashangaa unamcheat.
Wanawake tumeumbwa mateso mateso kuhangaika.

Nimejaribu kuwazaMhh mama mchungaji kwenye ubora wako![]()
Umewaza vizuri sanaNimejaribu kuwaza

Utashiba kweli?
Tanga rahaaaaaa... unafaidi we mshenzi.. na mie nipo na busi naenda mbeya 😁😁😁 kwa kina mwakaleli.. nikaone watu walio jaaliwa neema za allah
Hiki nini mdogo wangu 😎😎
Nimeshiba mnoUtashiba kweli?
Chipusi tamu tamuHiki nini mdogo wangu![]()
MnoUmewaza vizuri sana![]()
