Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
[emoji1787][emoji1787]Six pack za baunsa bonge; hapana kwa kweli
[emoji1787][emoji1787]Six pack za baunsa bonge; hapana kwa kweli
Umepitwa sanaaaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzz bhana lol.Samahani imepokelewa !! Nami nakuomba ufute hayo unayofanya mambo ya ajabu sana !!
Hongera kwa maisha mapya hayo mkuuOn 26th Feb, donlucchese got married finally [emoji2][emoji2]View attachment 2134058
Jana imebidi nionje baada ya kuahidiwa 10k kwa kila fundo la bia ntakalobwia[emoji15]
Unakunywa pombe?
[emoji1787]nitakusemea kwa kaka mzuri unanichokozaNiwaambie hiyo picha siyo yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijesababisha tukashindwa kula nyama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] basi sawa kama hutaki kucheki six park
Yeah, it is! Sema nini..kuna nyakati unatamani kale ka uhuru...badae tena ndio hivyo.But it's worth it
Shingo imefanyaje madam...sijui kutofautisha features za makabila.Umeangalia shingo [emoji12]!!!!!
Mnajua kutunza miili...Married with 2 kids! Hongera sana kuwa na mihela
Nakusalimia mwanasaikolojia uchebeShingo imefanyaje madam...sijui kutofautisha features za makabila.
Pops [emoji4][emoji4]Huu mzigo sio poa!! Hakika una kisu kikali douta!
Hahaha, unanisingizia sis darling!Nakusalimia mwanasaikolojia uchebe
Douta nadhani dingi atafurahi na kukubariki balaa akikwea hiyo ndinga. Fanya chap nipande dude hilo asee!!Pops [emoji4][emoji4]
Teh upo vizuri kwenye saikolojiaHahaha, unanisingizia sis darling!
Niko poa kabisa, mambo yako?(najua hizi salam kwa wapendwa sio nzuri sana[emoji23])
Mbona hufananii na kukula watu ngumi madam [emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]
Mie ningekukula ngumi [emoji1477] [emoji16]
Hakuna mtakatifu, Ila unaweza kuwa unajitahidi kuliko mimi..mara 100.Teh upo vizuri kwenye saikolojia
Mambo yangu fresh kabisa. Hivi unanionaga mtakatifu eeh?
Haha siyo kupanda tu uje uliendeshe kabisa [emoji2][emoji2]Douta nadhani dingi atafurahi na kukubariki balaa akikwea hiyo ndinga. Fanya chap nipande dude hilo asee!!