Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,008
Hapana Sina asili ya huko!Nijibu kwanza!
Hapana Sina asili ya huko!Nijibu kwanza!
But it's worth itMoments of ups and downs!
Leo nafanyia nyumbani kuna eneo la kutosha kukimbia kimbia!Unaelekea uwanja gani nipitie chap hapo[emoji1787]
Dah!!
Umeangalia shingo [emoji12]!!!!!Nijibu kwanza!
Mpesa namba ileile!! [emoji39]!Dah!!
Laki si pesa milioni hela ya chai
Hivi nikitaka kukutumia chochote kitu naweza kukutumia kwa njia ipi mkuu?
Location please...Leo nafanyia nyumbani kuna eneo la kutosha kukimbia kimbia!
SawaMpesa namba ileile!! [emoji39]!
Palepale pa kila siku![emoji12]Location please...
Nakuaminia mkuu !![emoji3577][emoji3577] Any day any time 24/7 namba inapatikana!Sawa
Wacha nijilipue kwani shi/bei gani bhana!!
Haya ni maisha tu duniani tunapita siwezi kujenga njiani
Naview mpaka nishibe.
😁😁😁 Ninazo nafasi za Ukraine, ungefika huko una cross border kwenda hata Poland kama mkimbiziNdio Uncle....
Hiyo sihitaji ,badilisha nchi please [emoji28].
Mzigo sio wa buku jero 🔥
Kweli aisee[emoji16][emoji16][emoji16] Ninazo nafasi za Ukraine, ungefika huko una cross border kwenda hata Poland kama mkimbizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji12]!!!Naview mpaka nishibe.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]!!Mzigo sio wa buku jero [emoji91]
Rafiki yangu hapa pembeni anaomba namba ameipenda hiyo short kama unaweza kumuuzia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji12]!!!