Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Congrats dude 👏🏾 👏🏾👏🏾On 26th Feb, donlucchese got married finally [emoji2][emoji2]View attachment 2134058
Congrats dude 👏🏾 👏🏾👏🏾On 26th Feb, donlucchese got married finally [emoji2][emoji2]View attachment 2134058
Acha kunicheka imenitamanisha basi tu.
dada nini lakini jamani.. nipo chalinze manyama nyama nasubiri kapoe engine 😊😊😊😊Hizo siyo pigo zako kabisa [emoji2][emoji2]
[emoji15]Hata kama kuna vita tusiache kunywa bia jamaniView attachment 2133410
Ushawahi kugusa kitu ukapigwa mkono....😃😃😃Acha kunicheka imenitamanisha basi tu.
Nilishagusa tako la mzimbabwe mmoja akaninasa kibao nilikuwa nimelewa nikafurahi.Ushawahi kugusa kitu ukapigwa mkono....😃😃😃
tako lilikuwa laini eeh 😒😒Nilishagusa tako la mzimbabwe mmoja akaninasa kibao nilikuwa nimelewa nikifurahi.
🫂🫂Congrats dude [emoji1490] [emoji1490][emoji1490]
Uliandika nini ukafuta?
Nilikuwa naselfika nikajikuta nimereply.Uliandika nini ukafuta?
[emoji1787][emoji1787]Nilishagusa tako la mzimbabwe mmoja akaninasa kibao nilikuwa nimelewa nikifurahi.
Mapema sana
Ndiyo laini kama ugali ambao haujaiva.tako lilikuwa laini eeh 😒😒
ulifaidi dahNdiyol aini kama ugali ambao haujaiva.
Congrats Don. Ukafanyike mume mwema na mkafurahie ndoa ya ujana wenuOn 26th Feb, donlucchese got married finally [emoji2][emoji2]View attachment 2134058
Hongera sana, ndoa njema kwako.On 26th Feb, donlucchese got married finally [emoji2][emoji2]View attachment 2134058
Hongera sana mkuu! Mungu awajalie amani upendo furaha na mafanikio katika ndoa yenu!On 26th Feb, donlucchese got married finally [emoji2][emoji2]View attachment 2134058
Hongera sanaOn 26th Feb, donlucchese got married finally [emoji2][emoji2]View attachment 2134058