Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,773
- 256,796
πππππππ hela tamuu bwanaaa.. ebu kosa hela uone kama huo ugali utakuja hata mezani
πππππππ hela tamuu bwanaaa.. ebu kosa hela uone kama huo ugali utakuja hata mezani
Bila pesa unalala njaaa πππππ
Umeolewa ? maana mimi sijaowa halafu nina mi-hela Mshana Jr ananijua vizuri yaani A to ZUbarikiwe sana! Mbona nimekoma kuselfika humu!! sirudii tena hakii![]()
Ubarikiwe sana ila uchofanya sio vizuri unaharibu uzi mkuu!Nishafanya hivyo Mama
Married with 2 kids! Hongera sana kuwa na mihela
Rafiki yangu hapa pembeni anaomba namba ameipenda hiyo short kama unaweza kumuuzia.


asiwaze ngoja nimfanyie wepesi fastaa!πππNilishagusa tako la mzimbabwe mmoja akaninasa kibao nilikuwa nimelewa nikafurahi.
Eeeeh nipoooooooHeaven Sent mamaaa pastaaa nakuona unachapa mi like tuuu
Safiiiiii kabisaaaaaa βΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈ
Haya selfika kidogo basiSafiiiiii kabisaaaaaa![]()
nili selfika na mapera mlo wangu wa jioni
Selfie yako bongenili selfika na mapera mlo wangu wa jioni
Nipo na nguo ya kulalia tu mkuu.. nimejifunika tayari..Selfie yako bonge
Nimekoma mimi, nimekoma mimi, nimekoma sanaNipo na nguo ya kulalia tu mkuu.. nimejifunika tayari..
sema tu kama unataka kuona six pack Holy Man ππππ..Nimekoma mimi, nimekoma mimi, nimekoma sana
Six pack za baunsa bonge; hapana kwa kwelisema tu kama unataka kuona six pack Holy Man ππππ..
ππππ basi sawa kama hutaki kucheki six parkSix pack za baunsa bonge; hapana kwa kweli
Sijaelewa hata, mi na vingreza ni tofauti kabisa madam!
