reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Waoo!hongera kaka!
Waoo!hongera kaka!
Aaah ukute tu tupo sawaHakuna mtakatifu, Ila unaweza kuwa unajitahidi kuliko mimi..mara 100.
Binamu upooo?Waoo!hongera kaka!
Hips don't lie mzigua og 👍Mirror mirror... Somewhere in Africa View attachment 2129121
Aaah wapi. Kwa sasa hapana😂😂😂Aaah ukute tu tupo sawa
Halafu nikipasua taa za mbele inakuwaje😂😂😂Haha siyo kupanda tu uje uliendeshe kabisa![]()
Kwa hiyo unatupa ushauri kuwa tuenjoy kwanza maisha ..Yeah, it is! Sema nini..kuna nyakati unatamani kale ka uhuru...badae tena ndio hivyo.
Sina ushauri wowote katika hili rafiki, vile moyo unakusukuma na uhitaji wako tu...Kwa hiyo unatupa ushauri kuwa tuenjoy kwanza maisha ..
Mungu ni mwema: utarudi tu kundiniAaah wapi. Kwa sasa hapana😂😂😂
Ooh Asante rafikiSina ushauri wowote katika hili rafiki, vile moyo unakusukuma na uhitaji wako tu...
... muhimu tu, kama unatamani kuwa na watoto, hilo zoezi lifanyike mapema!
Usisahau kumsisitiza kuwa ni vyema zaidi lifanyike kwa utaratibu sahihiSina ushauri wowote katika hili rafiki, vile moyo unakusukuma na uhitaji wako tu...
... muhimu tu, kama unatamani kuwa na watoto, hilo zoezi lifanyike mapema!
Nipo fanya mambo bathiiiBinamu upooo?
Ngumi simind muhimu ningate chocolate😀😆😆😆
Mie ningekukula ngumi 👊🏾 😁
Thanks.Mbona hufananii na kukula watu ngumi madam![]()
KumbeTeh upo vizuri kwenye saikolojia
Mambo yangu fresh kabisa. Hivi unanionaga mtakatifu eeh?

YaaniHips don't lie mzigua og![]()


Siunajua looks can be deceiving sometimes. 😁😁Mbona hufananii na kukula watu ngumi madam![]()