donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Amina dadaCongrats Don. Ukafanyike mume mwema na mkafurahie ndoa ya ujana wenu
Amina dadaCongrats Don. Ukafanyike mume mwema na mkafurahie ndoa ya ujana wenu
Hongera mno mkuu


Thanks sana mkuuHongera mno mkuu![]()
Congrats sana mkuu!
Moments of ups and downs!Hongera sana
"Here's to a long and happy marriage!"
Huu mzigo sio poa!! Hakika una kisu kikali douta!
😃😃😃😃😃..We'll have a lot of fun there![]()
Kwa kweli sipendi njegere..
And vice versa is true!!Kwa kweli sipendi njegere..
Yaalaaah
Sijaelewa hata, mi na vingreza ni tofauti kabisa madam!And vice versa is true!!
Madam una asili ya huko Rwanda?
Hahahaa kwanini mkuu??Madam una asili ya huko Rwanda?
Nijibu kwanza!Hahahaa kwanini mkuu??
Unaelekea uwanja gani nipitie chap hapo🤣!! Maziezi kwa afya karibu tukimbie kimbie