Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
UpoHaupo mbali na ukweli ndugu yangu msaga kunguni.
Tutaachana pale kifo kitakapotutenganisha.

Khaa

UpoHaupo mbali na ukweli ndugu yangu msaga kunguni.
Tutaachana pale kifo kitakapotutenganisha.


Nzuri tu rafiki vipi wewe ?
Nipo sana mbona!Sijambo
Nimekumiss
🤣🤣Kamanda Pep tangu apigwe na kitu kizito siku ile akina Wigelekelo wakawa wanamcheka naona kapotea jumla. Watu wafuatilie kama yuko salama huko aliko![]()
Shem dada nilibarikiwa kupokea ujumbe wako.Kina Wige wavimba macho tu
Baba Mtumishi anashikilia jimbo lake, na hana mpinzani
Kwa misingi ipi?Hilo jina ulirudishe ulikolitoa🤣
Atanisalimia kwenye outing yetu....tena ukituchangaya tunaigeuza kuwa 5 days vacationNaona umem miss,,,msalimie sana aisee😁
MimiNzuri tu rafiki vipi wewe ?
Nimeipokea kwaIle picha yangu ulimfikishia kweli?![]()
AmenMimi
Nadunda vyema
Namshukuru aliyepo juu
Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee.Shem dada nilibarikiwa kupokea ujumbe wako.
Kumbe shem wangu nae ni moja ya creatures wachache walioumbwa asubuhi.
Mapema tu baada ya chai akafinyangwa!
Anyway, itoshe tu kusema baba mtumishi mwenzangu huko anapumzika pazuri huku akila mema ya nchi 😇
🤣🤣🤣🤣🤣Nimeipokea kwamikonomacho mawili.
Ntaanza kukusalimia mara 4, minimum!
Can I get an Amen?Kwa misingi ipi?
Atanisalimia kwenye outing yetu....tena ukituchangaya tunaigeuza kuwa 5 days vacation
Daah, yaani mtu mmoja huyo huyo ni mchawi, mlevi, sio mjanja, mshamba halafu mfupi...Umeupiga mwingi😂😂😂😂😂
Hebu taja sifa zao🤣🤣🤣
Halafu wanaume ni walevi hao,vifupi nyundo na uchawi kwa mbaalii
Wana ka ushamba flani,walevi afu siyo wajanja kama wale wenzao walevi wa kaskazini.
Ila ni wachapakazi
Shem dada nilibarikiwa kupokea ujumbe wako.
Kumbe shem wangu nae ni moja ya creatures wachache walioumbwa asubuhi.
Mapema tu baada ya chai akafinyangwa!
Anyway, itoshe tu kusema baba mtumishi mwenzangu huko anapumzika pazuri huku akila mema ya nchi![]()
