Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
AminaNa
Wakati wote
Mungu ni mwema
AminaNa
Wakati wote
Mungu ni mwema
Dah 🤣🤣🤣Ukitenguliwa kiuno baki huko huko
Eti kajifanye kabaunsa; kabutue tuDah 🤣🤣🤣
UnaloooooKuna watu wamekutana hapa
Basi tutanyanyasika na stori zao🤣
Eeeh???🤣Eti kajifanye kabaunsa; kabutue tu
Tunawalaza kifudifudi.Carabao cup final....tutawalaza na viatu
Kwani unataka kusema nini?🤣Daah, yaani mtu mmoja huyo huyo ni mchawi, mlevi, sio mjanja, mshamba halafu mfupi...
Hakunaga, hawa ni watu wako umewaunda mwenyewe 🤣🤣🤣
Umefuraahi🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani mnatuchosha kusoma hizo igwe zenu siku nzimaIgweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee.
Aisee karibu tena shem lake, kwa kweli nimepata raha kukuona hapa. Achana na ule ujumbe, una tabia ya kufisha. 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Haupo mbali na ukweli ndugu yangu msaga kunguni.
Tutaachana pale kifo kitakapotutenganisha.
Dah jibu lake limenichekesha😂Upo
Khaa![]()
Oh sawaukitoka Mbezi kituo kikubwa ni Kibamba njia ya kwenda Hospital ya Mloganzila
Basi hatuonani humuNipo sana mbona!
Miguu ya mzee kupanda mlima uliojaa mchanga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Eti jopo🤣🤣🤣
Wige hana madhara mzee mwenzangu,
Anasaga kunguni hapa tu kwenye keyboard ila behind huko ni mmoja kati ya jopo la watanzania linalotuombea
Ubarikiwe sana mtumishi mwenzetu Wigelekelo
Msinitishe😁Kwa misingi ipi?
Atanisalimia kwenye outing yetu....tena ukituchangaya tunaigeuza kuwa 5 days vacation
Tublock usioneJamani mnatuchosha kusoma hizo igwe zenu siku nzima