Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie myarwanda mkuu nilie hamia tanzania miaka hiyoo

.. nimejisahahu nikafikiri tupo kwenye jukwaa letu la magari huwa tunapena tu uzoefu wa mikangafu tunayotumia
Jaguar haiwezi kuwa mkangafu mkuu. Mikangafu ni kama hichi ki-Corolla changu cha 2008...

Screenshot_20220219-024449_Chrome.jpg
 
acha weee nimerudi room saa moja asubuhi.. kama barmaid vile sema leo imekuwa chungu kweli muuza mshikaki alinidhulumu jero tumewashiana kidogo nimchape mikono.. .. nimekaa pale kumbe wadada wezi wameniibiaje sijui hela kangu roho imeniuma hadi usingizi sijapata.. pale sirudi tena
Hahah dah pole Sana hayo maeneo ukionekana wao ni fursa
 
Ilikuwa kuwaje?

Ulilewa kupita kiasi au wameichomoa ukiwa macho na akili zako?

Pole aisee
sijui wametumia mbinu gani yani, nilitoka kukwaruzana na mchoma nyama, nikasema acha niende kuchukua maji .. naenda counter naangalia mfukoni kitu hamna shekeli.. nahisi pale wakati tunazona kulikuwa na wadada nao walikuwa na yao nahisi ile trust ya wadada kujibana bana wakati wa mzozo ndio nimepigwa hapo na sikuwa makini sikuwa na hofu au wazo la kupigwaa
 
Back
Top Bottom