Mi nikionaga wino tu ndio macho yangu na focus yote itaishia hapo sintaangalia kwingine tena 😎😀
Hii nkamu kuna namna...embu waitolee tafsiri
Utakuwa umefichwa mpwa!Basi hatuonani humu
Hahaa binamu we huselfiki ujue!!Binamu fanya kuselfiks basi
tupia basiHahaa binamu we huselfiki ujue!!
Upooo?!!tupia basi
nipooooooo 😊😊Upooo?!!
Mkwe wangu
AbeeeMkwe wangu
du nimepitwaAbeee
Nipo hapa 24 hrs huwa sikuoni😁Utakuwa umefichwa mpwa!
🔥🔥🔥Mirror mirror... Somewhere in Africa View attachment 2129121
Hiyo jeuri naitoa wapi mimi???🤣🤣Tublock usione
Nilitaka kusema watu wa namna hii watakua wanapatikana Mbozi ndani ndani huo milimani kama unelekea undali.Kwani unataka kusema nini?🤣