Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Watu wa daslam nisaidieni..Uliza mnaada wa mbuzi choma, mkuu Mshana Jr akupe muongozo
Kibamba iko ni wapi?
Watu wa daslam nisaidieni..Uliza mnaada wa mbuzi choma, mkuu Mshana Jr akupe muongozo
NifanyieImeisha hiyo
Akipata nimepata
Kama jana nilivyopata akapata.
Tena
Haiwezekani kabisa😒Tena
Ni hujuma kubwa
Haiwezekani tukose
NgangariMimi na wewe hiyo kwioo??.
Sasahivi sisemi lolote bila picha![]()
Daraja la MloganziraWatu wa daslam nisaidieni..
Kibamba iko ni wapi?
Sijui hata lilipoDaraja la Mloganzira
Nilijua tu kuna eneo nitambana🤣Ngangari
vs
Ngunguri
Njema sana mkuu!
Walijiona wananihujumuUmembananisha
Hasaa
Nilikuwa nagongaNjema sana mkuu!
Nipo mkuu Asante sana kwa kunikumbuka!!Nilikuwa nagonga
Msosi hapa
Nikawa naangalia/nakunywa maziwa
Nikakukumbuka
Nafurahi kuona
Upo vyema
KaribuNipo mkuu Asante sana kwa kunikumbuka!!
Haupo mbali na ukweli ndugu yangu msaga kunguni.Mtaachana tu