andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,181
- 121,058
Zimefika Anko.Mwambie na mimi namsamilia
Nipo karibu yako tangu juzi
Zimefika Anko.Mwambie na mimi namsamilia
🤣🤣🤣🤣🤣
Wote ni wazima kabisa.Sijambo
Hawajambo wote?
Hivi upo mitaa gani ankoo nije kukusalimu🙂Wote ni wazima kabisa.
Kibamba Chama. Karibu sanaHivi upo mitaa gani ankoo nije kukusalimu[emoji846]
Karibu kwetu anko bwana sio kila siku unaishia hukohuko tuZimefika Anko.
Nipo karibu yako tangu juzi
Usinilaumu Anko, njia ya kwenu ina foleni sana.Karibu kwetu anko bwana sio kila siku unaishia hukohuko tu
[emoji16][emoji16][emoji16] hata kina anko huwa waongo jamani. Ya muhimu ni hiyo sentensi ya piliUsinilaumu Anko, njia ya kwenu ina foleni sana.
Nitajitahidi kufika kabla sijarudi kijijini, tukumbushane tu
AmenDhoruba iliyotumwa kukumaliza itakuwa ndiyo dhoruba ambayo Mungu Ataitumia ili kukuimarisha. Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2128851
Sielewi hata ipo upande gani🤣Kibamba Chama. Karibu sana
Marahaba mpwa!Shkamoo Eli
SijamboMarahaba mpwa!
Hujambo mama?
Wakubwa hawaongopi bali wanajitetea kwa kuonea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] hata kina anko huwa waongo jamani. Ya muhimu ni hiyo sentensi ya pili