Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Hivi shemeji yetu umemuona wapi?Mwana kwenda
Hivi shemeji yetu umemuona wapi?Mwana kwenda
Sijui umemficha wapi aiseeHivi shemeji yetu umemuona wapi?
Nani amemficha?Sijui umemficha wapi aisee
9Nani amemficha?
eeeh??!!
Sijapotea anko,nimekwama hapa kijijini baiskeli imepasua tairi,mkaa wangu umemwagika.Kwema kabisa anko za kupotea [emoji4][emoji4]
Hasa kwenye hiko kipengele cha kumwagiwa champagne [emoji4][emoji4]Ila harusi za wajeda zinanoga aisee siyo siri
Pole sana anko nimefurahi kukuona umepita huku [emoji846][emoji846]Sijapotea anko,nimekwama hapa kijijini baiskeli imepasua tairi,mkaa wangu umemwagika.
Yaani tangu wanaingia ukumbini,motion yao[emoji91][emoji91][emoji91]Hasa kwenye hiko kipengele cha kumwagiwa champagne [emoji4][emoji4]
Nikabaki tu kusonya chinichini...we mwehu nini baba kijacho yupi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha tafuta mmoja uolewe naye ila tu usije ukachepuka au ukamuacha na ukubaliane na yote [emoji2][emoji2]Yaani tangu wanaingia ukumbini,motion yao[emoji91][emoji91][emoji91]
Unaweza tamani kuolewa na mjeda aisee[emoji15]
Walivyo wahuni si ntakufa kwa presha mimiHaha tafuta mmoja uolewe naye ila tu usije ukachepuka au ukamuacha na ukubaliane na yote [emoji2][emoji2]
🤣🤣🤣🤣Ndiyo ufanye jitihada litoke ili siku nyingine akikuona akuambie hongera naona ushajifungua[emoji3]