Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Khaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujumlishe na sura ya kinyaki ya mjomba; mbona kunyoa kunakuwa wito kidogo. Ngoja nipambane tu this time
Khaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujumlishe na sura ya kinyaki ya mjomba; mbona kunyoa kunakuwa wito kidogo. Ngoja nipambane tu this time
Subiri utaona ninakokusemelea😒Ulitaka kunisemelea kwa nani?
🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Hatimaye nimekuonapo leo au siyo wewe huyo [emoji1][emoji1]
Ninasema ukweli mbele ya Heaven Sent mimi sina utaalamu wowote ila nasikiaga vijana wakisema zigo la kuvunja chaga, nadhani ndio kama hili.
Sasa kofia utavaaje kaziniMie ndiyo maana napenda Kuvaa kofia
Sio mimi mpendwa😍Hatimaye nimekuonapo leo au siyo wewe huyo [emoji1][emoji1]
Wengine kazi tunazofanya zinaruhusu Kuvaa kofiaSasa kofia utavaaje kazini
Mimi nafunga vilemba.
Mwee nilihisi tu [emoji3][emoji3]Sio mimi mpendwa[emoji7]
Kwa kweliMwee nilihisi tu [emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi hata sijui nilinyoaje jamani
Na sura zetu hizi[emoji16]
Mimi hata sijui nilinyoaje jamani
Na sura zetu hizi[emoji16]
Kuna watu tuna ujasiri sana😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anko Juju umekua kama m-West [emoji4][emoji4][emoji4]
Khaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa! Hapana bana.Anko Juju umekua kama m-West [emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi nilichoka kuvaa mawig halafu kipilipili nacho siwezi kusuka wala kubana. Siku hiyo nikasema leo ndo leo nanyoa natia bleach. Nimenogewa kabisa hapa nataka nikaongeze tena rangi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu tuna ujasiri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nawasubiri mliposema mnakuja na JHahahaaa! Hapana bana.
Wao ndo labda wako kama mimi [emoji6]
Mimi sijui kwanini huwa naamini bichwa langu zuri,ninyoe nisuke sawa tu..Huwa nafika muda nywele zinanichosha, nanyoa, narudi zangu kwenye rough dread (imekuwa style yangu ya miaka mingi), ila sasa hivi nataka nitafute style nzuri tu ya kunyoa na bleach langu amazing. Nikiwaza bichwa langu sasa, na faza hauzi sijui atasemaje