Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Dear we unanijua kwa sura na umbo picha hata ikikupita haina madhara😍My dear ulichokiweka kimenipita 🥰
Just went to see this ka-baby boy daddy. Mie nilijitibu mwenyewe 💊🥴Umeenda spitali Babygal?
Macho yako tu admirer 🥴Ni kwamba umenenepa au nimeona tu vibaya![]()

Kabisa
Nitaonekana mtoto aliyeshindikana.
Halafu hilo jina umenibatiza limetokea wapi jamani![]()
Ulipendeza
Kila mwisho wa mwezi uwa nakukumbuka sana![]()
Kwa kuwa unakabidhi michango on due date lazima unikumbukeMhmhhh hii tafiti umeitoa wapi brother
Mnatukingishia watazamaji sio poa hivyo, wekeni hapaDear we unanijua kwa sura na umbo picha hata ikikupita haina madhara![]()
wakubwa wanafaidi
Ipo siku nitakuvamia kwako…![]()
![]()
![]()
Kwa kuwa unakabidhi michango on due date lazima unikumbuke
Hahahaaa.. usiwasikilize waongoNinasema ukweli mbele ya Heaven Sent mimi sina utaalamu wowote ila nasikiaga vijana wakisema zigo la kuvunja chaga, nadhani ndio kama hili.
Ka dress katamu kama we mwenyewe 🥰
Kama umebadilika jamani? Ndiyo nisione mabadiliko 🥰🥰Dear we unanijua kwa sura na umbo picha hata ikikupita haina madhara😍
Ni sh ngapi kwanza,Nenda kwa cutting master’mlimani city akunogeshe 🥰