Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Jamani nikirudi huko nitakuomba uni elekezeFanya hivyo. Kama uko Dar naweza kukuelekeza sehemu niliponyoa. Wananyoa vizuri kwa kweli
Jamani nikirudi huko nitakuomba uni elekezeFanya hivyo. Kama uko Dar naweza kukuelekeza sehemu niliponyoa. Wananyoa vizuri kwa kweli
Ujue na mimi leo nimeamka na mawazo ya kunyoa; naona kama hawa wapendwa wamenihamasisha na hili bichwa langu refu kama UDA








Wasalimie Break Point
🤩🤩🤩🤩Nywele zimekuwa
Kunyoa sitaki
Napataje shida asubuhi kuziweka official 🙂
Saint Anne View attachment 2114836
Mwee hongera😂😂😂
Karibu dearJamani nikirudi huko nitakuomba uni elekeze
Nyonyo za kimasai
Picha ya December hiyo 🤣Mwee hongera😂😂😂
Hatimaye umesuka,,umekua sasa
😂😂😂😂Ujue na mimi leo nimeamka na mawazo ya kunyoa; naona kama hawa wapendwa wamenihamasisha na hili bichwa langu refu kama UDA
Daah kuchana nywele ni another underrated talent
Kuchana asbh huwa zinakera sana


Mamiguu?😂😂😂😂Emu tuone 😜😜
Yaani nywele zinakula muda mwingi mno kuzichana,kuliko hata muda unaotumika kuoga.Daah kuchana nywele ni another underrated talent![]()
MweeeMweeh mbona kamesharudi sasa![]()
Kaone kazuri 😍
Unajua ume nichekesha sanaa![]()
Hata mimi nimesemaNi kwamba umenenepa au nimeona tu vibaya![]()
Mie ndiyo maana napenda Kuvaa kofiaYaani nywele zinakula muda mwingi mno kuzichana,kuliko hata muda unaotumika kuoga.
M
Mweee
Kwahiyo unataka usemaje??
Nakusemelea![]()
Mimi hata sijui nilinyoaje jamaniUjumlishe na sura ya kinyaki ya mjomba; mbona kunyoa kunakuwa wito kidogo. Ngoja nipambane tu this time