Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Kipilipili kizuri sana kikishakua.Mimi nilichoka kuvaa mawig halafu kipilipili nacho siwezi kusuka wala kubana. Siku hiyo nikasema leo ndo leo nanyoa natia bleach. Nimenogewa kabisa hapa nataka nikaongeze tena rangi![]()
Ukisuka kinapendeza tu,jaribu.


