Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,736
Jilipuekiukweli tuu mimi nikinyoa nitaonekana kama mwanafunzi wa secondary
Hongera unapendeza ukinyoa
Jilipuekiukweli tuu mimi nikinyoa nitaonekana kama mwanafunzi wa secondary
Hongera unapendeza ukinyoa
Mimi nakazia hapo kwenye penzi lingine![]()






. Nimeandika tu siko serious mkuuNakazia kwenye serious. Nimeandika tu siko serious mkuu
Ngoja nitajaribu kujilipua maana natamani sana kunyoa kwakweliJilipue
😄😄 wana kuoneaMimi huko njiani huwa naulizwa ninakosoma,,
AbeeeeeeNinasema ukweli mbele ya Heaven Sent mimi sina utaalamu wowote ila nasikiaga vijana wakisema zigo la kuvunja chaga, nadhani ndio kama hili.
Ahhh wapi!Umenenepa siku hizi
Umeenda spitali Babygal?
Mimi nilikua naogopa kunyoa nilikua najua kakichwa kangu kadogo nitatisha. Sasa hivi nimenyoa na naenjoy nywele fupi balaa. Wig navaa ofisini tu nikirudi mtaani na nazurura na nywele fupi kama kawaNgoja nitajaribu kujilipua maana natamani sana kunyoa kwakweli
Mwee![]()
Beautiful😍Mimi nilikua naogopa kunyoa nilikua najua kakichwa kangu kadogo nitatisha. Sasa hivi nimenyoa na naenjoy nywele fupi balaa. Wig navaa ofisini tu nikirudi mtaani na nazurura na nywele fupi kama kawaView attachment 2114826
Yaani hapo umepungua?Ahhh wapi!
Nilianza mazoezi na baada ya kuumwa siku mbili tatu hizi nimepungua.
Nimenenepa mashavu 🤣 gauni isikuchanganye dogo…
Ni nzuri? Namuona mtu mzima Djimon Hounsou ndani!Karma Itafute hii ,,,, resputin yumo humuView attachment 2114750