Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,123
- 6,207
Ninasema ukweli mbele ya Heaven Sent mimi sina utaalamu wowote ila nasikiaga vijana wakisema zigo la kuvunja chaga, nadhani ndio kama hili.Hamna sio kitenge Saint AnneView attachment 2114682
Ninasema ukweli mbele ya Heaven Sent mimi sina utaalamu wowote ila nasikiaga vijana wakisema zigo la kuvunja chaga, nadhani ndio kama hili.Hamna sio kitenge Saint AnneView attachment 2114682
MweeeUbarikiwe sana bosslady, unanidai kale kakitu eeh, ngoja nikafanyie kazi
Sijaona tena[emoji134]Fanya hima ma mtumishi!
Au ni mimi nilisoma vibaya jamani[emoji23]Naona umeamua kuiandika kwa msisitizo, akati mwenzio alikosea. Siku hizi umekua mwingi sanaa..
Ulisoma kama alivyokosea, ila sasa wewe umeandika tena yale makosa kwa kudhamiria kabisa.Au ni mimi nilisoma vibaya jamani[emoji23]
SorreeeUlisoma kama alivyokosea, ila sasa wewe umeandika tena yale makosa kwa kudhamiria kabisa.
Nimeacha.Saint Anne umeshaanza kusuka?View attachment 2114723
Mkwe si tulikubaliana ukiachika unalia siku 2 ya tatu unarudi sokoni? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mkwe unazidi kunoga etiii!naona mambo swafiii!!!
Tuna bold neno sokoni[emoji41] yaliyomo yameonekanaMkwe si tulikubaliana ukiachika unalia siku 2 ya tatu unarudi sokoni? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kiukweli wewe na Depal wote mna vichwa vizuri vya kunyoa sie wengine hata kujaribu ni mtihani 😃
Kichwa changu hata sikielewi kwa kweli japo nakionaga tu kizuri hivyohivyo.Kiukweli wewe na Depal wote mna vichwa vizuri vya kunyoa sie wengine hata kujaribu ni mtihani 😃
😄😄 kiukweli tuu mimi nikinyoa nitaonekana kama mwanafunzi wa secondaryKichwa changu hata sikielewi kwa kweli japo nakionaga tu kizuri hivyohivyo.
Unajikaza tu unanyoa hivyohivyo.
Beautiful Mama. Beautiful complexion.
Me mpogoro, madam, ila sijakulia Morogoro wala sifahamu kipogoro kabisa, Morogoro nimeishi tu wakati nasoma chuo kikuu (Sokoine "AGE")Mkuu wewe ni kabila gani if you don't mind [emoji16][emoji16]
Neno sokoni inamaanisha unarudi mtaani kupata penzi lingine mkuu.Tuna bold neno sokoni[emoji41] yaliyomo yameonekana
Mimi huko njiani huwa naulizwa ninakosoma,,😄😄 kiukweli tuu mimi nikinyoa nitaonekana kama mwanafunzi wa secondary
Hongera unapendeza ukinyoa
Mimi nakazia hapo kwenye penzi lingine[emoji41]Neno sokoni inamaanisha unarudi mtaani kupata penzi lingine mkuu.
Umenenepa siku hizi