Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jana ilikuwa siku nzuri sana kwangu na leo ikawa extra deep.. nzuri sana.. kuna wimbo wa Rehema Simfukwe jana na leo na sasa ukawa una make sense sana kwangu...
Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
(Ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua Nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
 
Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
(Ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua Nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
nipo hapa nasikiliza mda huu.. 😊😊😊
 
Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
(Ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua Nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu
 
Hata upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
(Ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu

Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu Nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua Nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
 
Back
Top Bottom