Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
BadoKimya humu mmelala!!!!??? ??
BadoKimya humu mmelala!!!!??? ??
Mkuu; age is just a number. Tutafute helajaman ko kumbe ni muongo, sasa ile siku alikazana mno na akasema ile birthday yake ilopita last December ndo anakamilisha 76yrs, woiiiiiiiih
Nweei post selfie yako bas.



Ya kutuma pichaIpi hio??
📌📌📌SYB hio avatar yako ndio nini!!?? Haikusadifu please itoe bana!!
Afu wee mie sijui kizungu, hebu nifundishe kwan bas?Aaaaah there she is,,my favorite girl![]()




Shida sio number wala kutafuta hela,Mkuu; age is just a number. Tutafute hela
View attachment 2097836View attachment 2097837View attachment 2097838View attachment 2097839





Maisha ni kuchagua.inaonekana yuko kwenye mapenzi mazito mnoEehh kweli unajua namuona kama mtu na heshima zake fulani!
Acha kulike tu jibu comment.Naingia lindo
Kafanyaje?hahahaha hy shetani hy
Alaa kumbe ni dedikeshiooo basi wacha nifute kauli asee🤩Maisha ni kuchagua.inaonekana yuko kwenye mapenzi mazito mno
Usifute hata.kwani ni haramu kuwa mapenzini??Alas kumbe basi wacha nifute kauli asee🤩
Ehhh... Labda kwakua hatujaizoea hio... hapana sijaongelea mahaba yakee kabisa..hata hivo ushanielewesha nishafuta kauliUsifute hata.kwani ni haramu kuwa mapenzini??
Nafikiri I Kwa sababu haijazoeleka.
Ni kama mimi nilivyotoa kimdomo na kuweka kiatu,au wewe kutoa hiyo ambayo umeweka sasa.
Mazoea ni mabaya ujue
Ukilitafsiri kwa kiswahili ni bayaaAfu wee mie sijui kizungu, hebu nifundishe kwan bas?![]()

hahahahahaAlaa kumbe ni dedikeshiooo basi wacha nifute kauli asee🤩
hii mada mbn siielewi?Usifute hata.kwani ni haramu kuwa mapenzini??
Nafikiri I Kwa sababu haijazoeleka.
Ni kama mimi nilivyotoa kimdomo na kuweka kiatu,au wewe kutoa hiyo ambayo umeweka sasa.
Mazoea ni mabaya ujue
Do us a favor beautiful lady!!View attachment 2097866
Nakesha popo
Umejificha sana hapo usoni mamy unapumua vizuri kweli??🤣🤣😜View attachment 2097866
Nakesha popo