Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Daddy unahangaika na vitambulisho vyetu vya kizushi???
Daddy unahangaika na vitambulisho vyetu vya kizushi???
Dada@Lizzy nakusalimu kwa jina la Jamhuri kazi ziendelee
Asante ndugu kajamaahahahaha.ahsante rafiki. Eti aka 'kajamaa' nimecheka
Siipendi hiyo salamu kama nisivyompenda mama wa kambo 😬😬😬Dada@Lizzy nakusalimu kwa jina la Jamhuri kazi ziendelee
Yes Babygal…..nawe ushawahi kwenda kwenye hiyo ofisi yao hapo Ukwamani?Daddy unahangaika na vitambulisho vyetu vya kizushi???
I'mma post my empty wallet next so....let me see yours 😉😄
Hebu rudia jiraniAsiyekuwepo…….
Mi sjaona rudiaMhmmhmm! Unanijaza rafiki!

😜😜😜😜😜🤩! Kweliiiiii 💃acha uongo rafiki
Mi nilienda Kawe 2yrs ago...na mpaka leo hawajanipa ID 😏Yes Babygal…..nawe ushawahi kwenda kwenye hiyo ofisi yao hapo Ukwamani?
Hahahaaa... UmechelewaaaMi sjaona rudia![]()
There you go….it doesn’t have much. Just enough to buy Babygal a plate of whatever she likes/ wants 😉I'mma post my empty wallet next so....let me see yours 😉😄
Sawa ankal nikirudi nitawasiliana nawe japo tupate nyama chomaNipo ankal niko huku kulekule
Nimefurahi kusikia humpendi lizzy wangu.una nafasi yako moyoni mwangu kwakweli.Siipendi hiyo salamu kama nisivyompenda mama wa kambo 😬😬😬
Mzima lakini?
Uko tayari lakini??maana nikiamuaga kupiga zoezi ninakuwa mwepesi kama upepoAseeeeehhh nitashukururu sana ...