Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,271
Niliwamiss mno jamani, nikamwambia 9.8ms squared aje awasalimu. Alichokijibu anakijua 😅😅
Niliwamiss mno jamani, nikamwambia 9.8ms squared aje awasalimu. Alichokijibu anakijua 😅😅
Mlifanikisha? Au shety aliingilia katiAwwww
Hizo data ulikusanya wapi? Jomoneeeeh c ungenidadisi mie mwenyew mbna ningekusadia ktk zoezi lako? Ukute sasa huko kuna sehemu umekosea ktk utafiti wako lol.
Afu kumbe nawee ni mtoto wa Anangisye? Mie nilijua uko chini ya taasisi ya mstaafu mwinyi pale karibu na Jangwani girls sec, nliona unapost sana mambo ya ktk taasisi ile. Kumbe nawee upo hapa opposite na mawasiliano tower?
Hebu tukutane PM bhas jomoneeeh, huenda ukawa mwaka wanguu huu.
mahondaw suala la mavazi na sare za harusi sitaki uniangushe.
Depal wee ndo mpambe wangu,
Chakorii kamati ya mapokezi itakufaa sana.
Lizzy mwenyeji wangu kuhusu kamati ya chakula fanya namna hapa.
Jack Palladino suala la vinywaji naomba ziwe za bei nafuu,
Saint Anne cc yafaa kuwa MC?
Karma mommah kamati ya ulinzi ni yakona nakuaminia.
Heaven Sent naomba mafundisho ya imani, malezi na maisha. c unajua ndoa sio lelemama.
mawardat mlongo music tafuta babu kubwaah.
Mshana Jr babuuh nadhan ndo msimamizi mkuu.
Satoh Hirosh kamati ya tahadhari na dharura hutaniangusha.
Wewe kijana wa hovyoo jina lako ngumu, suala la ukumbi na hotel ya kufanyia honeymoon ni lako, sitaki uniangushe hapo.
Na wengineo woteeeeeeeeeh. stay tuned mambo mazuri yanakuja hapa.![]()
Kumsalimia.karibu wapi?
Hivi alikuwa anajua kuwa utamweka huku wakati unampiga picha!
Mmmh nilitaka kushangaaDada yangu
haha siku yangu bado labdausikate tamaa.utawini tu
😊😊😊😎😎😎 Nanyimwa na nini na hii shikamoo jamani9.8ms squared shikamoooo 😁😁
hampati vya asubuhi nyie wakubwaa jamaniGood morning my pipo
Tumeshapata sasa hivi tunaendelea na majukumu menginehampati vya asubuhi nyie wakubwaa jamani
😬😬😬😬😬Tumeshapata sasa hivi tunaendelea na majukumu mengine
Unacheka au unalia?
, 🙄🙄🙄 unapata na nguvu ya keyboard, enzi zetu cha asubuhi mtu unamuacha hoi anapata na usingizi double.. nyie vijana wa siku mnatuangusha sanaUnacheka au unalia?
Enzi zenu zipi wakati we mtoto? Au ndio mambo ya reincarnation,unapata na nguvu ya keyboard, enzi zetu cha asubuhi mtu unamuacha hoi anapata na usingizi double.. nyie vijana wa siku mnatuangusha sana
ewaaaaa... ndio ivyo.. unamuacha mtoto wa mwenzako hoiiiiii... 😎😎Enzi zenu zipi wakati we mtoto? Au ndio mambo ya reincarnation
Amen. Reserved seat for you TinsleyHaya ni mapito tu ,hakika tutavuka salama .
Proud Simba Fc fan .
Siku hizi nonyi ndio mnabaki hoiewaaaaa... ndio ivyo.. unamuacha mtoto wa mwenzako hoiiiiii...![]()
🙄🙄🙄 kweli eeehSiku hizi nonyi ndio mnabaki hoi
Eeehkweli eeeh
Mnapata raha eeh 😀😀😀na mie acha nutafute raha yangu hapa..Eeeh