Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1643306792668.jpg
 
We worship your Holy name

Hakuna jina lingine, ila jina lako Yesu eeh
Jina lako linainua, jina lako linatakasa
Jina lako linauisha Yesu
Sina, eeh
(Sina jina lingine) ila jina lako Yesu
(Ila jina lako Yesu) ooh
Jina lenye mamlaka na nguvu zote
(Jina lenye nguvu) eeh, ni Yesu ni Yesu
Jana nilikuwa msibani somewhere; walipoimba, wacha niwakumbuke na dada yako

Sioni haya kwa Bwana,
Kwake nitang’ara!
Mti wake sitakana,
Ni neno imara.

Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.

Kama kiti chake vivyo,
Ni yake ahadi;
Alivyowekewa navyo,
Kamwe, havirudi.
 
Jana nilikuwa msibani somewhere; walipoimba, wacha niwakumbuke na dada yako

Sioni haya kwa Bwana,
Kwake nitang’ara!
Mti wake sitakana,
Ni neno imara.

Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.

Kama kiti chake vivyo,
Ni yake ahadi;
Alivyowekewa navyo,
Kamwe, havirudi.
Jana ilikuwa siku nzuri sana kwangu na leo ikawa extra deep.. nzuri sana.. 😀😀😀 kuna wimbo wa Rehema Simfukwe jana na leo na sasa ukawa una make sense sana kwangu...
 
Inawezekana sio vyote lakni unavyo vilivyoorodheshwa
Kuhusu wewe 😀😀, una beza mambo yanayo onekana complex, hupendi kujishulisha na issue complex, una ka uvivu flani 😊😊😊, una huruma sana japo sio mwepesi kutoa chozi 😀😀😀. Hupendi masumbufu.. upo selective katika watu.. huna kiburi.. chakula.. naendelea kutililika tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom