Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
sawa nitamuambia ume miss sana 😊😊Kwa kuwapa pasi wenzio tu..upo vizuri..ulianza kumpasia Pendael24 .. halafu simuoni huyu jamaa amepotelea wapi?? Ukimuona mwambie namsalimia sana
Damn! I’ve missed that. I’m on my way.
Sasa sijui ni Ukimya wao ndo unawafanya waonekane na dharau…🤷♀️Hahaa hapo kwenye dharau hapooo nasikiaga watu wapole/wakimya Wengi wanakuwaga na dharau sana za chinichini
Abee kipenzikipenzi
Ulikumbukwa piaaaaHeaven Sent umekumbukwaaa
Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu
Ninajua udhaifu na kuwa na afya
Katika yote wewe Bado Mungu
hapa wapi tuje kusali
safi sana for huduma
Ntakunong'oneza mtu chake. Vipi kwanza ile pass yako kwa mahondaw imezaa goal au?hapa wapi tuje kusali



😜🙃🙃🙃Nimependa zaidi hiyo "mammmae" ukitukania hivyo ndio mzuka unazidi kuwa mwingi hadi unamwagika
Sanaaa ..nikiamua kutumia muda muda kumchunguza mtu..lazima nimpate japo asilimia 50Uko deep sana kwenye psychology
ahsante mkuuExactly! Big up mtu chake
Comment zako hazikaagi mbali na hisia za mapenzi mbalizi👊🏿👊🏿👊🏿Nimependa zaidi hiyo "mammmae" ukitukania hivyo ndio mzuka unazidi kuwa mwingi hadi unamwagika
hahahaha.kwahy umenichunguza ktk maandishi?Sanaaa ..nikiamua kutumia muda muda kumchunguza mtu..lazima nimpate japo asilimia 50