Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wakati wenzao sasa hivi tukiulizwa tu umri tunajihami; "kwani unaniona mzee sana"
Tatizo hivi vibinti vinaona dili kuonekana vikubwa kwa kaka na dada zao! Ila vinasahau kuwa uzee ni real! Vikifika kwenye 32 vinageuza namba visomeke 23! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kwa kweli mtu akitaka nimzabue; achukue Biblia yangu then aichore mmmmh
Nasoma sana biblia, iisipokuwa huwa siweki alama yoyote wala kuandika chochote, kwasababu huwa mda wowote huwa nagawa biblia zangu.. pale ambapo naona mahala kuna uhitaji.. hapo imelala from mwazno to ufunuo nakuwaga narudia rudia tu [emoji3526][emoji3526]
 
Hali ya hewa nzuri sana twendeni tukafuze upepo
IMG_20220119_175922_3.jpg
 
Back
Top Bottom