ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,497
- 126,800
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana wewe!! Mjadala umefungwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana wewe!! Mjadala umefungwa...
Huyo sasa hatufai, hizo habari sio kabisa!!Niliwahi pita nikaona unaupambania kweli yaani .
Napita ndiyo..kuna mdau tunaye humu niliona anajitapa kuzibua mtaro.
Selfika basi ElliHuyo sasa hatufai, hizo habari sio kabisa!!
🤔80 mwishoni mwishoni
Kidevu hicho!Selfika basi Elli
Kijana anasema asanteKidevu hicho!View attachment 2088151
Nadhani siyo mtandao wangu huu[emoji28]Kidevu hicho!View attachment 2088151
Anne yupo faster sana!![emoji23]
Kama mimi tu.
Mungu wa Mbinguni akubariki mno kaka yangu mzuriiii🥰🤗🤗🤗Sidhani mkuu
Umeanza mambo yako!Mungu wa Mbinguni akubariki mno kaka yangu mzuriiii[emoji3059][emoji847][emoji847][emoji847]
Kuna mtu humu umefanana naye [emoji16][emoji16]
Ukute ni mimi mwenyewe [emoji2]Kuna mtu humu umefanana naye [emoji16][emoji16]
Yepi hayo?Umeanza mambo yako!
Haha una Id mbili
Aka[emoji2] ....nimesema tu. Mimi nikiwa na Id zaid ya moja ntajichanganya vibaya mana ni msahaulifu mzuri tuHaha una Id mbili
[emoji28][emoji28]..nimecheka Sana dah,kwani ukubwa unaazia mwaka gani asee[emoji28]
Maana kila siku humu ndani naambiwa Mimi mtoto,acheni kuninyanyasa bana,sipendi kbs kuniita mtoto[emoji41][emoji41]