Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,026
Ndio rafiki..sawa rafiki,home si pale pale ?
Ndio rafiki..sawa rafiki,home si pale pale ?
Chakorii nakukumbusha kuwa una zawadi yako kwa mtu.Wewe ni mtu sanaChakorii..
Zawadi yako nimeificha moyoni...nadhani utazimia siku ukiitia mkononi
SijaonaNimeisha secreenshot ☺️☺️
Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu?[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ni nini unawinda hapa tangu asubuhi Mzee mwenzangu?[emoji23]
Nimekusoma muda tu ni unalalamika hadi siyo poa[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mikwambie tu..mimi na big sisy Heaven Sent tunamkubali mno shemeji yetu Pep .hiyo ni taarifa fupi tuChakorii nakukumbusha kuwa una zawadi yako kwa mtu.
Usiseme sikukumbusha🏃♀️
Mimi nasubiri tu atoe hiyo zawadi yako halafu nitakuwepo pembeni kukupepea maana amesema utazimia.Naomba mikwambie tu..mimi na big sisy Heaven Sent tunamkubali mno shemeji yetu Pep .hiyo ni taarifa fupi tu
Kwahiyo nimeshakuwa madam tayari😀Ishakuwa mchana madam Chakorii!!
Tangu mwaka huu uanze Tumekuwa kundi moja[emoji2]Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda!
Elli una umri sawa na wa shem wangu.Tangu lini umekuwa mzee mwenzangu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sina ninachowinda shem wangu...na uzee huu naanzaje kuwinda!
NdioHeee😥
Tena uhujumu huu ni mzito sana🤣🤣🤣🤣
Kweli mpo kwenye muendelezo wa kunihujumu
Yani nimeahirisha hadi siwezi tena kusema!Kwahiyo nimeshakuwa madam tayari[emoji3]
Hebu niambie basi na wewe Sir ERoni
Kwa hiyo mwaka huu umeuanza na uzee[emoji23][emoji23][emoji23], thibitisha kwamba umekuwa mzee..thibitisha shem[emoji23][emoji23]Tangu mwaka huu uanze Tumekuwa kundi moja[emoji2]
Vya kuwinda vipo vingi Shem.. tena na Uzee huo inakuwa rahisi kabisa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Msinisimange basi.🙈
Siwezi kuwa umri sawa na shem wako, mimi ni uncle wako tafadhali [emoji23][emoji23]Elli una umri sawa na wa shem wangu.
Tena uhujumu huu ni mzito sana
😂😂😂Siwezi kuwa umri sawa na shem wako, mimi ni uncle wako tafadhali [emoji23][emoji23]