Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Atakutana na kisiki cha mpingoMsipopambana; ndoa itawashinda kisa gubu la dada wa mume
Atakutana na kisiki cha mpingoMsipopambana; ndoa itawashinda kisa gubu la dada wa mume
😘😘😘☺️☺️☺️ baada tu ya kuamka jamanii..
Dawa yake inachemka tena kwa jiko umeme 🤨🤨🤨.. nitamuwashaaaNa hilo ndo tatizo la kuzLiwa last bon
Mimi ,wewe na Chakorii🤗
Tulia basiWifi gani ananikosesha haki zangu kwa kaka😔
HallelujahTafuta mume wako, ukapate haki zako huko
hahahaha.muage mr wako kbs .akupe visaBadae utanistua rafiki... Nikashuhudie freestyle laifu laifu![]()
e moyo cha mdekoHaki zangu kutoka kwa kaka zipo palepale😒
📌📌📌Ewaaaa... irudiwe rudiweee hiii 😊😊
muwe wakali sana kwa huyo mtoto, asiwachezee chalazeni kabisa fimbo 😊😊😊.. akija kwangu anakutana na kerubu la. mgongooShindwa na ulegee.wewe huyo vipi
Usiwaze nitamuaga Ili niwe huru na amani piahahahaha.muage mr wako kbs .akupe visa
Unaeuka ruka kama popcorn huyu..hatutaki kuja kuwa washauri akiharibu.ohooomuwe wakali sana kwa huyo mtoto, asiwachezee chalazeni kabisa fimbo 😊😊😊.. akija kwangu anakutana na kerubu la. mgongoo
Awwwwww 😍😍😍 thay why I love you jamani.. unatakiwa kumkazia na fimbo chapa kabisa akileta kauzibeAtakutana na kisiki cha mpingo
safi sana,km vp aje nae ashuhudie.hahahahaUsiwaze nitamuaga Ili niwe huru na amani pia
Yeuyeee🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥰🥰🥰🥰🥰Awwwwww 😍😍😍 thay why I love you jamani.. unatakiwa kumkazia na fimbo chapa kabisa akileta kauzibe
Haha..Tena hio itapendeza zaidisafi sana,km vp aje nae ashuhudie.hahahaha
hahahaha,sasa we plan kila kitu rafikiHaha..Tena hio itapendeza zaidi
...