Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Mbona zuri tu jamani. Ooh nahisi nimeshaelewa lastic uliyokuwa unaitaka.
Kama hujaridhika nayo; nenda kaongee na fundi mwingine uone atakwambiaje.
Kama hujaridhika nayo; nenda kaongee na fundi mwingine uone atakwambiaje.
Ona alichoshona jamani!!!![emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Halafu huku chini ya mikono hio lastiki nilimwambia iende kama upana wa cm 3 pawe pamebana ameweka hivo..hivi hapa si inawezekana kwenda kurekebisha huku mwishoni kwenye mikono?? View attachment 2088468