Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
mdogo ako atakupa mkuu shemejiHivi bado unajitoa ufahamu kuhusu kututumia picha?
mdogo ako atakupa mkuu shemejiHivi bado unajitoa ufahamu kuhusu kututumia picha?
Nimemkataza😁Hivi bado unajitoa ufahamu kuhusu kututumia picha?
Hivi wapi niliandika shemeji??Sio shemeji tena![]()
Nimemkataza![]()
Ma mchungaji fundi amezinguaaaaa... Naona kabisa kashona tofauti hata pozi la kujaribu limekata.....mikono sijataka yahivi Mimi uwiiiiiAtakula alikopeleka mboga


!Saint Anne dada mkuu ni kauzu utadhani mkulima wa pilipili 🤣🤣Atakula alikopeleka mboga
KwambaHivi wapi niliandika shemeji??
Em fanya tu kuvaa afu uselfike. Inaweza ikawa mikono tofauti, yet ikapendezaMa mchungaji fundi amezinguaaaaa... Naona kabisa kashona tofauti hata pozi la kujaribu limekata.....mikono sijataka yahivi Mimi uwiiiii!
🤣🤣Atakula alikopeleka mboga
Nitampa mwenyewe😉Saint Anne dada mkuu ni kauzu utadhani mkulima wa pilipili 🤣🤣
Si tulikubaliana HM ndiye kaka yangu wa damu🙆Kwamba
Ni shem wake
Kaka yako wa damu
Ili mpate picha ni hadi muache kunihujumu😀
Mbona nzuri sanaOna alichoshona jamani!!!!Halafu huku chini ya mikono hio lastiki nilimwambia iende kama upana wa cm 3 pawe pamebana ameweka hivo..hivi hapa si inawezekana kwenda kurekebisha huku mwishoya mikono?? View attachment 2088468
Ewaaa...haya ndo maneno sasa..we love you too guys...cha mdeko and Pep..I love you more babe![]()
Unatuuza bwana!!Huu mguno kunani shem darling?
VungaKwamba
Ni shem wake
Kaka yako wa damu
Lakini huku chini ya mikono Nilitaka pabane kama urefu wa cm 3 jamani! Ntamwambia aparekebishe kidogoMbona nzuri sana