Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1642595160208.jpg
 
Unavyoupambaniaga ukianza kuharibiwa na masnitch...unaupambania utadhani sasa ni roho yako inataka chomolewa.
Huwezi kuelewa Anne!
Halafu kumbe unapita kule mama?

Ule uzi unaweza kusoma kisa kimoja tu, hata kama hisia zilikuwa upareni unashangaa damu ishakuwa ya moto.[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Huwezi kuelewa Anne!
Halafu kumbe unapita kule mama?

Ule uzi unaweza kusoma kisa kimoja tu, hata kama hisia zilikuwa upareni unashangaa damu ishakuwa ya moto.[emoji125][emoji125][emoji125]
Niliwahi pita nikaona unaupambania kweli yaani .

Napita ndiyo..kuna mdau tunaye humu niliona anajitapa kuzibua mtaro.
 
Back
Top Bottom