Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
💯💯Kweli ana sapoti yako🤣🤣🤣
💯💯Kweli ana sapoti yako🤣🤣🤣
Wacha akwazikeHii ni hatari, Hivi kushikwa hivyo haku-kuletei hamu ya tendo ? Samahan kama nitakukwaza kwa swali.
😋😋 ulimi huo.. hauchi hisia salamaa... mawazoo yameisha enda mbaliiiNimeharibu nini sasa
🤣🤣acha wenge basi...😋😋 ulimi huo.. hauchi hisia salamaa... mawazoo yameisha enda mbaliii
Good evening mtu wa MunguGood evening..View attachment 2086711
Ahaaaaa kumbeee..nikweli kabisa mimi ni kisu🤣🤣Si umeselfika jamani chakorii
😁😁😁 naachaje wenge tayari nimevurugwaaa... acha nijitupe kitandani daah.. kusaka usingizi nikue mie🤣🤣acha wenge basi...
Nimeona aibu ujue
Hahahahaah!Ahaaaaa kumbeee..nikweli kabisa mimi ni kisu🤣🤣
Hapo kitandani paendelee kubaki salama.ukiharibu tu..nitahitaji malipo ya hiyo emoji😁😁😁 naachaje wenge tayari nimevurugwaaa... acha nijitupe kitandani daah.. kusaka usingizi nikue mie
MnoooooooooooHahahahaah!
Hongera sana. Wanyonge lazima watakuwa wanapata tabu sana
[emoji1787]Kaka ake Anne wa tumbo moja; kuna mdogo etu hivi ndiyo tunamuoza[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188]
Khaa[emoji1787][emoji1787]Kuna ndugu yetu huko Mbeya ametuletea Pep kuwa shemeji yetu
[emoji1787][emoji1787]Mmemuona shemeji yenu lakini[emoji1787]
Mlalo wa kimwenyewe mwenyewe huu, hakuna chana mkeka hapaaa😔😔😔Hapo kitandani paendelee kubaki salama.ukiharibu tu..nitahitaji malipo ya hiyo emoji
Wa pwani wako vzr shida kaka zetu midomoo!!wana gubu balaa[emoji1][emoji1]wachache sana ndo hawanaga hizo mamboo!!Aiseee Sisi wa pwani tunachkuliwa poa sana duh
We vizia tu!morning baasi!ikipita imepitaa!!![emoji28][emoji1][emoji1]reymage
mahondaw
Depal
Tafadhari naomba picha zenu mlizoweka ambazo mie sijaona, yaan hapa nahisi kufa kufa, na mnajua huwa siwezi kukubali kupitwaa. Please mfanye km vile nahitaji.
Hivi mie huu ni ukubwa au mambo mengi, mbna napitwa hivi khaaaah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naombeni nione hizo picha, seriously.
Ushauri umezingatiwa, utekelezaji umeanza mara baada ya kupokelewa ushauri rasmi wa ndugu 9.8ms squared 😂Akupe receipt ya EFD..
ila kuwasomeshea fresh haina shida 😁🙈😁
Baba mtumishi umeanza lini uongo [emoji1][emoji1]Nafuta shortly, I prefer to remain anonymous hapa jamvini
________________________________
Hapa ni last weekend nikiwa kwenye shughuli ya chama huko Ileje
Kama unavyoona nimepewa bodyguard maana naupiga mwingi sana.
Bodyguard wangu anaitwa Mwangosi Mwakipesile kutokea kule Mbalizi mjini.
View attachment 2086492