Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,484
Sasa huo ukorofi Mkuu, yaani kutufunga mtufunge hiyo Jana na bado mnatusimanga Kilugha?
Eti Saint Anne hayo maneno ya Chini anamaanisha nini?
Sasa huo ukorofi Mkuu, yaani kutufunga mtufunge hiyo Jana na bado mnatusimanga Kilugha?
Unasema uongo ndugu yanguHuifuti na hutaifuta maana ni ya uongo![]()
Hapo umenena Mama Mchungaji, vipi lile Kreti la Soda pale nyumbani liliisha nimwambie Boda boda akuletee lingine?😂🏃🏃🏃Nakuandalia summary
Huyo ni shemeji yakoUnasema uongo ndugu yangu
😁😁😁😁 Kreti la soda alihitaji receiptHapo umenena Mama Mchungaji, vipi lile Kreti la Soda pale nyumbani liliisha nimwambie Boda boda akuletee lingine?😂🏃🏃🏃
Embu TULIA wewe mtoto 🤣🤣
Mbona hanipi support sasa? ama yeye ni kamandaHuyo ni shemeji yako
Itabidi ifanyike namna wazidi kuumia na kukerekaMnooooooooooo
🤣🤣
Umeiona lakini?Embu TULIA wewe mtoto![]()

Na bado, tunawangoja Yanga tuwashoneSasa huo ukorofi Mkuu, yaani kutufunga mtufunge hiyo Jana na bado mnatusimanga Kilugha?
Eti Saint Anne hayo maneno ya Chini anamaanisha nini?
Nadhani ana mpango wa kunisaidia kufanya palizi ya mbogamboga.Mbona hanipi support sasa? ama yeye ni kamanda

Hapo umenena Mama Mchungaji, vipi lile Kreti la Soda pale nyumbani liliisha nimwambie Boda boda akuletee lingine?![]()
Watuache na sura za wajomba zetu
Aiseee!
Kabisa yaaniWatuache na sura za wajomba zetu
Chakorii tunamalizia jioni hii slow slow
View attachment 2086779
View attachment 2086780
View attachment 2086781
Kichwa chako kibovu🤣🤣
Akae Kwa utulivu kabisa🤣🤣Embu TULIA wewe mtoto 🤣🤣