reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,454
- 29,360
Mimi bwana naona ashki ziko kwa unyayoo!![emoji1][emoji1]siwezii!Wala hujanikwaza usijali....binafsi sijawah hisi lolote lile na huwa napaka rangi kwa hawa wakaka muda sasa bila shida yoyote.
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app