Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bwana bwana kuna huyu mtu anaimba nipo naskiliza ngoma zake na hali hii ya hewa basi zinaburudisha bana
Screenshot_20220118-115137.png
 
reymage
mahondaw
Depal

Tafadhari naomba picha zenu mlizoweka ambazo mie sijaona, yaan hapa nahisi kufa kufa, na mnajua huwa siwezi kukubali kupitwaa. Please mfanye km vile nahitaji.

Hivi mie huu ni ukubwa au mambo mengi, mbna napitwa hivi khaaaah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Naombeni nione hizo picha, seriously.
 
Back
Top Bottom