Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Umeweka??? Ngoja nichekiSawa sawa😂😂😍
Umeweka??? Ngoja nichekiSawa sawa😂😂😍
Mie tena 😁Umeweka??? Ngoja nicheki
Aah tutafanyaje sasa na watu wanaweka tukiwa hatupo ila tukiwepo hapa kutwa nzima hatuambulii kitu [emoji19][emoji19]Kupitwa na picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba niko kwa kundi gani [emoji1][emoji1]Hahahaahahahahahaha
Mimi nakuelewa
Aahh!wewe bwana acha zako[emoji1][emoji1][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kweli kabisaa dear wanaume wetu hawanaga makuu [emoji4][emoji4]Kiukweli mko vizurrii!na mwanaume wa kinyaki wako very responsible wengi wanajielewega sana!ingawa I never dated but my fellows nawaona wanavoinjoi!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja
Wanaume wa kinyaki ni balaaa .
Hilo niachie mimi hahahaaha.Kwamba niko kwa kundi gani [emoji1][emoji1]
Aah tutafanyaje sasa na watu wanaweka tukiwa hatupo ila tukiwepo hapa kutwa nzima hatuambulii kitu [emoji19][emoji19]
Kama lugha gani???Ili twende na ukweli jamani kuna lugha zingine ngumu nashindwa kwenda na upepo wenu humu, najitahidi hivyo hivyo
Mpo vizuri jamaniWeuweeeeeeeeeeeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
AMEN AMEN AMEN[emoji120][emoji120][emoji120]Mpo vizuri jamani
mzidi kuwa na upendo huo huo .
Aiseee Sisi wa pwani tunachkuliwa poa sana duhMpo vizuri jamani
mzidi kuwa na upendo huo huo .
Happy New Year mpendwa.... Hako ka tag kalikuwa na nini eti? 🙈🙈
Sawa sawa rafiki [emoji1][emoji1]Hilo niachie mimi hahahaaha.
Nakuelewa sana wewe mtu na mapigo yako
Swali lake ni jibu... Unanipa picha hunipi??Weuweeeeeeeeeeeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Dooh basi labda huwa nakuwa nimetoka huku niko kwenye uzi mwingine [emoji19][emoji19]Nyingine zinakupita hapahapa nkamu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Kidogo nkuite lakini nkasema Duh nsije nkatolewa baru maana.......Happy New Year mpendwa.... Hako ka tag kalikuwa na nini eti? 🙈🙈
Utolewa baru na nani? Nimefika, niambie..Duh! Kidogo nkuite lakini nkasema Duh nsije nkatolewa baru maana.......