Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Saint Anne ndo maana nakuambiaga namuelewa sana shem.Mvumilio accepted.
😔😔😔😔😔😔😔Bora uchanike ukiwa mkavu.kuliko uchanike halafu unywshewe na mvua😀😀hatari sheikh
Sapoti yangu mnayo nyote wawiliSaint Anne ndo maana nakuambiaga namuelewa sana shem.
Yupo tayari kuni support kwa hali zote.
Anajua kabisa hata mimi sifurahii kuvaa kile kijani kibichi, basi tu...ndo ulaji wangu
Haya usikasirike baba sawa eee🧚♀️🧚♀️😔😔😔😔😔😔😔
😆😆Saint Anne ndo maana nakuambiaga namuelewa sana shem.
Yupo tayari kuni support kwa hali zote.
Anajua kabisa hata mimi sifurahii kuvaa kile kijani kibichi, basi tu...ndo ulaji wangu
Ewaaa😆😆
Haya muwekee picha,nimekuruhusu
Yaani una uchizi mwingi🤣Amesema haitaki eti kutokana na ile rangi pendwa
😋😋😋😋 ayaaa umeharibu tayari
Aiseeeee wewe ni kisuuuu!
Nimeharibu nini sasa😋😋😋😋 ayaaa umeharibu tayari
Kweli ana sapoti yako🤣🤣🤣Na uchizi kwenye mahusiano ndo mzuri
Pep endelea kuwa chizi baba
Nilimkata nani na hicho kisu chiefAiseeeee wewe ni kisuuuu!
Hongera aiseeee duh
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nilimkata nani na hicho kisu chief
🤣🤣sasa hii hongera ni ya nini RM