Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Kuna ndugu yetu huko Mbeya ametuletea Pep kuwa shemeji yetuNani mnamuoza aseee 🦁🦁
Kuna ndugu yetu huko Mbeya ametuletea Pep kuwa shemeji yetuNani mnamuoza aseee 🦁🦁
🦍🦍🦍🦍Kuna ndugu yetu huko Mbeya ametuletea Pep kuwa shemeji yetu
Mkuu mimi urefu wa kamba yangu unaniruhusu kuwa na bodyguardKuna mtu anakuroga ukose chombooo mkuu.. lete pesa nikuambie.. nivujishw pepaaaaa 🤕🤕
Unachokitafuta huko mbogamboga utakipata🤣🤣🤣.🤣🤣🤣
Kwanini niende lockup?
Ni vile nimetaja jina la bodyguard wangu?
Pengine hujui, but siku hizi tunaruhusiwa mbona kuwataja hawa wanausalama.
So I don't get your point mtoto mzuri, Saint
Bodyguard mwenyewe mbona ana njaaa huyo 😂😂😂Mkuu mimi urefu wa kamba yangu unaniruhusu kuwa na bodyguard
Mtu mwenye bodyguard halogekagi...
Respek, mkuuSiku imekwishaaa.. 🤕🤕🤕View attachment 2086523
Jichezee mwenyewe
Duuuh kumbe unadili na ma super computers networkingWork [emoji856][emoji856]View attachment 2086505View attachment 2086507
😊😊 Hiyo ni upande wa power katika data center.. Ingawa pia Networking, Cyber security, Electrical, Mechanical na Trade nimekwivaa 😂😂😂😂.. na utapeli juuuu.. ukizungumza na mie dk tano naweza nikakutapeliii na kukuibia 😊😊😊😊😊😊.. hii dunia inahitaji uwe multipurposeDuuuh kumbe unadili na ma super computers networking
🦥🦥 bila taarifaaa eeeh [emoji1664][emoji1664]
Shemeji mkubwa amenilima dislikes hadi PC ime stuck.Unachokitafuta huko mbogamboga utakipata🤣🤣🤣.
Wapumzishe basi ndugu zangu😁,shemeji zako hao🤣
Hiyo taarifa batili.. bakini hukoo hukoooo 🤕🤕🤕🔪🔪🔪Hapana, ndiyo tunajiandaa kuleta official news
hii ngoma imekazaaa.. sijui. leo itaachiaaa 😂😂😂😂Duuuh kumbe unadili na ma super computers networking
Hiyo taarifa batili.. bakini hukoo hukoooo [emoji856][emoji856][emoji856][emoji380][emoji380][emoji380]
Akupige hivyohivyo .Shemeji mkubwa amenilima dislikes hadi PC ime stuck.
Hajapenda mimi kutaja jina la bodyguard wangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji16][emoji16][emoji16]....
View attachment 2086298
acha nikanywe uji wa mchele mchele kwa kina Chakorii nikirudiii kila mmoja ashike njia yake 🦍🦍🦍[emoji188][emoji188][emoji188][emoji188][emoji188] (Running for my dear life)
Kwa Mimi huwezi, nishakwepa mishale mingi mkuu. Kwa hiyo upo upande wa electric au data center[emoji4][emoji4] Hiyo ni upande wa power katika data center.. Ingawa pia Networking, Cyber security, Electrical, Mechanical na Trade nimekwivaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. na utapeli juuuu.. ukizungumza na mie dk tano naweza nikakutapeliii na kukuibia [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].. hii dunia inahitaji uwe multipurpose
😂😂😂 sio kila mshale unakwepwaaa mingine haikwepekiKwa Mimi huwezi, nishakwepa mishale mingi mkuu
ahaaa katoto ritooo 🤗🤗🤗🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣