Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Tafuta pesa ya kununua mchele tupike uji
Tafuta pesa ya kununua mchele tupike uji
Nani huyo anamloga shemejiKuna mtu anakuroga ukose chombooo mkuu.. lete pesa nikuambie.. nivujishw pepaaaaa 🤕🤕
Acha ukuda basiKuna ndugu yetu huko Mbeya ametuletea Pep kuwa shemeji yetu
AsanteMkuu mimi urefu wa kamba yangu unaniruhusu kuwa na bodyguard
Mtu mwenye bodyguard halogekagi...
🙄🙄🙄🙄 jamani mchele tenaaaTafuta pesa ya kununua mchele tupike uji
leteni pesa niwaambie 😊😊Nani huyo anamloga shemeji
Kwani uji wa mchele unapikwa na ulezi!🙄🙄🙄🙄 jamani mchele tenaaa
🙄🙄🙄🙄🙄 nimesimama nyuma yako hapaNimetoka hapa nje sikuon.unajua sipendagi masihara ee...uji unaganda ujue
Akuuuu...🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️leteni pesa niwaambie 😊😊
👀👀👀👀👀👀Naam shem wangu wa nguvu sana
Lakini sijafuta picha shem wangu....embu scroll juu kule utaiona, I have kept my promise
Nahivi nilivyoandunje ningeshindwa kukuona kweli!🙄🙄🙄🙄🙄 nimesimama nyuma yako hapa
Mmemuona shemeji yenu lakini🤣Acha ukuda basi
Saint Anne mwoneshe dadako picha ya shemeji ake.....m cc ile post, hajaonaIko wapi?
Nashukuru Kwa kuendelea kumpa shemeji yetu nafasi katika moyo wako.bravo👊🏿
Anhaa🤣🤣🤣Saint Anne mwoneshe dadako picha ya shemeji ake.....m cc ile post, hajaona
Nilionywa...naacha🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini unavimbiwa!
😂😂😂 kumbe ndoto naota, ebu nimwagie maji nitoke kwenye huu muotoNahivi nilivyoandunje ningeshindwa kukuona kweli!
Unakesi ya kujibu
Ashaipata kitambo🙈,basi tu😝Nashukuru Kwa kuendelea kumpa shemeji yetu nafasi katika moyo wako.bravo👊🏿
Unakula sanaNilionywa...naacha