Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Salamu zimefika[emoji4].Usinifinyange namna hiyoo mtumishi,basi wenye tege lake lililo mpendeza.
Nikajua unamsalimia maza.
Salamu zimefika[emoji4].Usinifinyange namna hiyoo mtumishi,basi wenye tege lake lililo mpendeza.
Kila mtu ana namna yake kuyapatia maisha... ukisimama kwa mwendokasi unakuwa juu ya wengine?[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila dunia hiii ina watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sipendi kuongozana na watu warefu..Ndiyo ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendi kuongozana na watu warefu..
Usije kumnyanyapaa mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sina urefu huo, huwa najipima kwenye mwendokasi halafu najipa maksi zangu[emoji23][emoji23][emoji23], najua tu nimepeleaBrod darling mbona unaonekana ni mrefu? Best friend angu ni dada ako wa upareni, imagine tukiongozana
Usije kumnyanyapaa mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sina urefu huo, huwa najipima kwenye mwendokasi halafu najipa maksi zangu[emoji23][emoji23][emoji23], najua tu nimepelea
[emoji17]Na viatu
[emoji1787][emoji1787]Sipendi kuongozana na watu warefu..
Niko poa rafiki heri ya maaka mpyaNext time nitakushtua rafiki
Uko poa lakini?
Wamesema eti unafanya nini?Nini tena dada [emoji28][emoji28]
Ahsante sana rafikiNiko poa rafiki heri ya maaka mpya
[emoji120][emoji120][emoji120]Ahsante sana rafiki
Heri ya mwaka mpya kwako pia
Akupe receipt ya EFD..Mama Mchungaji kasema Ile ya Juzi nimechangia ukuaji wa huduma, kwahiyo ataitumia Ile Hela kueneza Injili hadi kufika Kijiji Cha Nanjilinji huko 🙆
Ila ushauri wako nimeuzingatia, Mwaka huu sitatoa hela ya kumjengea mtu nyumba, kununua kiwanja Wala kulipa ada.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ndiwoooo ndiwoooooooooo... Aselfike kwanzaaa